UtandaRhymes

The Curse of the One(s) Incredibly Gifted

A gift can also be a curse, like a natural tan that becomes less desirable until its bleached One The Incredible and Wale embody the love and hate relationship that exists between hip hop and the mainstream. In “kivyovyote”, One dismisses the mainstream trends, that are usually at odds with originality and creativity. Wale has […]

Leave a comment
Uchambuzi

Harakati

Sehemu ya makala hii imetafsiriwa kutoka kwenye gazeti la NYTimes moja na mbili Rais wa Senegal Mh. Abdoulaye Wade aliwahi kutaka kubadilisha katiba ya nchi hiyo ili kufanikisha azma yake ya kugombea urais awamu ya tatu. Rais huyo ambaye alikuwa ameshajenga sanamu kubwa kwenye mji mkuu wa nchi hiyo lililogarimu milioni 27 za Kimarekani na […]

2 Comments
One on One, Visual

One on One: WAKAZI

Kwa Wakazi, EP ya Abacus ni muendelezo wa safari ya kuelekea kwenye santuri yake. Wakazi ameshaonyesha uwezo wake kama msanii kupitia kanda zake tatu za mseto za MYU na Utatu Mtakatifu. Utatu Mtakatifu ndiyo kanda mseto bora kati ya zote tatu. Ndiyo kanda inayofunga mfululizo mzima wa kanda za mseto za MYU. Tofauti na zile […]

4 Comments
UtandaRhymes

Away With Me

Wakazi is looking for the one among the “wanawake wa dar”, to see who is like Jean Grae to take her “Away with” him. However, loyalty seems to have mastered chess, outplaying many, like Raiza Biza’s girl “summer” who comes and goes. Wakazi and Jean Grae, are both reluctant in finding real love. Grae however, […]

2 Comments
Audio, Lyrics

MYAM MAHMOUD – THE GIRLS

Myam Mahmoud is a young artist from Cairo, Egypt. Unlike Beyonce, Mahmoud is advocating for women’s rights through her lyrics which echo their sentiments that are usually kept silent. Her music not only brings awareness to the social issues faced by women but also challenges the society’s views on gender, including the views of women […]

1 Comment
Audio, Uchambuzi, Visual

Uchambuzi: Fid Q – Siri Ya Mchezo [II]

Fid Q anaendelea kuimenya siri ya mchezo kama kitunguu, bila kuchokoza ile mihemko ya Darwin’s Nightamre. Lakini je, kama kweli siri hiyo ni mfano wa kitunguu, machozi ya Fid yameonekana, au yeye ni mwanaharakati anayevaa suti vitani? Lakini labda harakati hizo anazidi kuziendeleza kwa kutupa mashairi yenye vidokezo vinavyoweza kutusaidia kufumbua siri zilizofichwa. Tukianza na […]

12 Comments
Audio, Lyrics, Uchambuzi

Uchambuzi: Fid Q – Siri Ya Mchezo [I]

Uhakiki na Jicho La Ra Siri ya Mchezo ni wimbo mwingine kutoka kwenye santuri mpya ya Fid Q inayoitwa Kitaalojia. Ukisikiliza vizuri, utunzi wa wimbo huu ni kama unataka kushabihiana na ule wa “Propaganda”. Maudhui ya Siri Ya Mchezo yanagusa sehemu kuu mbili. Moja ni tasnia ya muziki, hasa huu wa kizazi kipya na pili […]

40 Comments
UtandaRhymes

Foreign Oceans

‘Oceans‘ mirrors both the ugly past of the transatlantic slave trade and Jay Z present success. This Oceans once “drown my family, this water mixed my blood,” Frank Ocean sings. On the contrary, Jay Z’s yacht floats on the same waters the slave ships once sailed on. Today he pours champagne on these waters, symbolizing […]

1 Comment
Artist of The Week, Audio, Visual

Watengwa 2 France, Musical Safari

Watengwa‘s highly anticipated album, Ni Full Ile Laana Vol. 2, is about to hit the stores (be on the look out for the exact date). The album was recorded, mixed and mastered in Paris, France, during the East Africa Rise Up tour last year. While they were at it, Watengwa prepared a documentary showcasing how […]

14 Comments
Audio, News, Visual

Kichupa cha ‘In The Congo’

Ndugu Zavara, mmoja wa waanzilishi wa Bongo Hip Hop na waasisi wa kundi la Kwanza Unit, anagusia vita ya Kongo katika ‘In The Congo‘ kwa mtindo wa kipekee kwenye kichupa hiki adhimu. Pamoja na wimbo huu kugusia vita mas-ala ya maafa ya vita Kongo, halkadhalika kuhomola (kwiba kwa “Kitemeke”) utajiri wa madini ya huko kwa ndugu yetu wa Msasani, bwana […]

4 Comments